Nationalhymne
Tanzania!
Mungu ibariki Afrika.
Wabariki viongozi wake. Hekima Umoja na Amani hizi ni ngao
zetu Afrika na watu wake.
Ibariki Afrika,
Ibariki Afrika, Tubariki watoto wa Afrika. (CHORUS)
Mungu ibariki Tanzania.
Dumisha uhuru na umoja Wake kwa waume na watoto. Mungu ibariki
Tanzania na watu wake.
Ibariki
Afrika, Ibariki Afrika, Tubariki watoto wa Afrika. (CHORUS)
|